Wednesday, January 12, 2011

WANAHARAKAYI TULAANI YA ARUSHA

Nilipatwa na mshituko nilopoangalia taarifa ya habari juu ya maandamano yaliyo andaliwa na CHADEMA kupinga shughuli zima za uchaguzi wa umea ARUSHA MJINI ambapo maandamano hayo yaliandaliwa kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya muungano wa tz.Kulikuwepo na haja gani ya police kutumia siraha za moto kuwatawnya waandamanaji ,kuua ndugu zetu, kuwapiga na kuwaachia majeraha? . Wanaharakati wa vyuoni,maofisini, na kungineko mliko tulaani kitendo hicho.

No comments:

Post a Comment