Wednesday, January 12, 2011

DOWANS DOWANS JAMANI

Maisha yako juu, umeme umepandishwa bei, maisha ya vyuoni haya eleweki  5000 kwa siku eni shida  10000 kwa siku haiwezekani eti serikali haina pesa lakini kuna pesa ya kulipa DOWANS .Hii ndo TZ

1 comment:

  1. kwa kweli hiyo ni kkituko ya karne na sasa hii ni ishara kwamba serikali ya kikwete imeshindwa kumudu mikimikiki huku wananchi wakiendelea kulia hali ngumu ya uchumi serikali inazidi kuwakandimiza na texna basi wanatumia kodi zao kuwaongezea ugaumu a maisha je hii kweli ni serikali ya kutuaidia au kutukandamiza? wansheria kadhaa wamezungumza kwamba hakuna haja ya kukubali korahisirahisi kulipa deni hilo ambalo lionaonekana kuwa mzigo mzito kwa watanzania kwa sababu kwanza dowans yenyewe yaonakana kuwa ni kampun i hewa ya mafisadi wachache wanaotumia nyadhfa zao kuwaumiza wananmchi wa hali ya chini.. jamani hii sasa imezidiwazungu husema Too much of anything is harmful

    ReplyDelete