Wednesday, May 4, 2011

TUZICHOKE SIASA ZA UONGO

Nini haja ya kudanganya uma? na dhani ni sababu ya kujikinga kisiasa tu.Kinga ya mauvu ni uongo kwa CCM.Wemetudanganya kuwa wamejivua gamba.Kwa lipi? mbona kuna mgongano mkubwa kati ya Katibu mkuu wa chama hicho MAKAME na katibu mwenezi NAPE.Hivi nani anapaswa kuwaandikia mafisadi barua za kujiuzulu kati ya NAPE na MAKAME?,