Thursday, February 3, 2011

WABUNGE AMUENI KWA KAULI MOJA

Ni bunge la wajanja wengi wenye kutaka masilahi ya umma yatimizwe.Naamini wabunge mkiamua kuesa sasa umasikini basi ya wezekana,ujinga mwiko na maradhi hayakubaliki.Tanzania si haba bali wanaoliongoza Taifa hili ndio wasaliti wetu na kutufanya tuwewategemezi.Hatutegemei wabunge mnabenza suala la DOWANS  ambapo muhusika yupo ROSTAM AZIZI, suala la katiba mpya ,mfumuko wa bei,kuongezeka ujinga hasa matokeo ya kidato cha nne n.k.Tumieni fursa hii kutetea walalahoi wa vijijini.Ambao hadi leo hii wanamjua NYERERE ndio rahisi wao.Wkeni kando maslahi binafsi ,muogopeni muumba wetu .