Wednesday, January 12, 2011

DOWANS DOWANS JAMANI

Maisha yako juu, umeme umepandishwa bei, maisha ya vyuoni haya eleweki  5000 kwa siku eni shida  10000 kwa siku haiwezekani eti serikali haina pesa lakini kuna pesa ya kulipa DOWANS .Hii ndo TZ

NI LEO SIKU YA MAOMBOLEZI

Ni wa tz wenzetu waliopoteza maisha huko ARUSHA wakishiriki maandamano ya amani .POLICE wakatumia nguvu na risasi za moto kutoa uhai wao,hivyo hawapo nasi tena kiwili ,Mungu naomba ziweke roho zoa mahari pema peponi amina.

WANAHARAKAYI TULAANI YA ARUSHA

Nilipatwa na mshituko nilopoangalia taarifa ya habari juu ya maandamano yaliyo andaliwa na CHADEMA kupinga shughuli zima za uchaguzi wa umea ARUSHA MJINI ambapo maandamano hayo yaliandaliwa kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya muungano wa tz.Kulikuwepo na haja gani ya police kutumia siraha za moto kuwatawnya waandamanaji ,kuua ndugu zetu, kuwapiga na kuwaachia majeraha? . Wanaharakati wa vyuoni,maofisini, na kungineko mliko tulaani kitendo hicho.