Wednesday, December 29, 2010

LAZARO: NA HILO NALO JAMANI DU! HII KWELI TANZANIA.

LAZARO: NA HILO NALO JAMANI DU! HII KWELI TANZANIA.: "Waswahili husema ukiona za helea hujue zimeundwa napata hushangao kuwa kwanini suala la KATIBA linapigwa danadana? na kulipuuzia..."

NA HILO NALO JAMANI DU! HII KWELI TANZANIA.

Waswahili husema ukiona za helea hujue zimeundwa  napata hushangao kuwa  kwanini suala la KATIBA linapigwa danadana? na kulipuuzia kanakwamba si msingi imara wa uongozi?.Bila ya unafiki viongozi waliopewa dhamana  ya kuliongoza  tai?fa hili na wananchi wenyewe wanataka katiba mpya  .Wao wanasema haiwezekani kwani kipi kinawezekakana kwa TZ ? IKIWA KILA KITU HAIWEZEKANI JAMANI? hatakubadilisha katiba?! acheni unafiki  ni wakati wa mabadiliko viongozi wetu lazima mtamue hilo.Mbona mnangangania mfumo uleule wa tangu mwanzo na sasa na siku zote na milele amina? je katiba ya mwaka 1977 haijapita na wakati?.Tuishi kulingana na wakati na sio kulingana na matakwa ya wachache.Uma unataka katiba basi tupeni katiba mpya.NA wala msije kutumia nguvu ya dola kulizima suala la katiba.Jiulizeni jamani wafuasi wa CUF tu wamejaribu kuandamana kushinikiza kuandikwa kwa katiba mpya lakini polisi ambao jukumu lao kubwa ni kulinda amani lakin wao wamekuwa kipawa mbele ktk kuzuia sauti ya watanzania kuhusu katiba.Tumeshudia mbunge Ubungo ,bwana Mnyika akipeleka hoja binafsi ofisi ndogo ya mbunge Dar-es salaam.Naamini yeye ni mwakilishi wa mawazo ya wananchi wake  waliomchagua.TUNAOMBA VIONGOZI MSIWE WABABAISHAJI  maana wananchi ndio tunao umia.WAtanzania  tujiulize je tunayo DEMOKRASIA AU KIVULI CHA DEMOKRASIA?  

Monday, December 20, 2010

MKWAWA UNIVERSITY KUNAVIJIMAMBO ,HONGERA LAZARO KWA MSIMAMO

ILI KUWA SIKU YA STUDENTS  BARAZA AMBAPO WANACHUO WALIPOTOAMADUKUDUKU YAO YANAYOHUSU MSTSKABADHI WAO JUU KUWEPO KWAO CHUONI.IKUMBUKWE  KUWA  DARUSO-MUCE  AMBOPO MYOVELA NDIYE  RAIS AMEPOTEZA MWELEKEOKABISAWAKUWA KIONGOZI  WA  WATU  WAKE AMBAO WALIMUWEKA MADARAKANI.TAREHE  18/12/2010 .NI SIKU YA KUMBUKUMBU KWA MAKAMU WA RAIS KWAKUMDHIHIRISHIA WAZIWAZI KUWA WATU HAWAMTAKI  KUTOKANA NA USHIRIKI  NA OPARESHENI  YAKE YA KUUZA  VYUMBA NA  HATA KUOMBA  RUSHWA  YA NGONO  ILI WATU WAPEWE VYUMBA  AMBAVYO WALISTAHILI  KUUDPATA KWA MUGIBU  WA KATIBA NA  SHERIA  YA UGAWAJI  VYUMBA   UDSM.   WANACHUO WAMPA LAIFU  MH.JANUARY PHILIPO  AMBAYE NI MAKAMU WA RAIS KUWA HAWMTAKI ANGATUKE .MWANA HARAKATI  MMJOJA AMBAYE  NI MUHANGA  WA UTAWALA  MBOVU  DARUSO  2010/2011,    KAPINGA  LAZARO   ALIYE TOLEWA MADARAKANI KUTOKANA NA MIZENGWE   YA UTAWALA HUO, ALIPASUA JUPU MBELE  YA UMATI  WA WANACHUO WOTE KUWA  MAKAMU WA RAIS  NIYE ALIYECHAFUA HALI YA HEWA NDANI  YA DARUSO-MUCE   NA KUMUOMBA HAACHIE  NGAZI ILI WENYE MOYO WA DHATI  WA  ONGOZE  DARUSO.  WANACHUO  WALISHANGILIA NA KUFUPA  PESA HATIMAYE  KUMNYANYUA  JUU  KAM  SHUJAA  WA KWELI  NA  MTETEZI  WA HAKI,NDIPO  KIDHAADHAA  KILIPO  ANZAAA  KUMSHAMBULIA  JANUARY KAMA MBWA MWIZI.NILITEGEMEA  JANUARY ANGENYOSHA  MIKONO  KWA  MASHAMBULIZI  KAMA  YALE   AMA KWELI  JAMAA ANAMOYO  MGUMU  ZAIDI  YA PAKA  ,ANA  TOA KAULI ZA  MAUZI  NA KUSEMA  HAMNI  WEZI, MNAJADILI  UDAKU   ,JE  NI NANI ATAMUONGOZA  JANUARY?  WOTE WANAMKANA     NAOMBA ACHUKUE  HATUA ZA HARAKA NA NZITO  ILI KULINDA   BUSARA  NA  HESHIMA  YAKE.      JE    HII SIO  TASWIRA   YA VIOPNGOZI  WA KIAFRICA  KUNGANGANIA  MADARAKANI?  ANGALIA  ZIMABWE,  SUDAN, IVORY  COAST,KENYA  NA  TANZANIA    KUMBE   WANAANZA   TUNGU   CHUONI  MTOTO  HUMLEOVYO  NIVYO  AKUOVYO.