Kawaida
mwanamke anaweza pata mimba kuanzia siku tatu kabla ya kuingia kwenye
siku zake, hii ni kwasababu katika muda huo tayari yai la mwanamke
linakuwa limesha komaa hivo iwapo litakutana na mbegu za kiume ndani ya
muda huo Utungisho unafanyika (Mimba
inatunga) na kama yai hilo halitakutana na mbegu ya kiume ndani ya muda
huo, hupasuka na hatimae damu zina anza kuvuja ndio tunasema mwanamke
yuko mwezini. Hivyo basi kama ukijamiiana na mwanamke siku moja kabla ya
kuingia kwenye siku zake anapata mimba.
HAPA KAZI KWAKO!
HAPA DHUUUU!
Ni kweli kadhamilia? WALIMU MNAKAZI Nini kifanike? tafakarii maana hawa ndio watoto wetu,dada zetu ,ndugu,kaka zetu, na ndio taifa laq kesho.